PICHA: Mgombea urais wa Ukawa, Edward Lowassa akiongea na Muuza Maharage wa Soko la Tandale mapema leo asubuhi ili kuweza kutambua changamoto zinazowakabili wafanyabiashara hao jijini Dar es Salaam.
Picha ya chini: Lowassa akiwa na kikombe cha chai kutoka kwa mama ntilie huku juu wakazi hao wakiwa wamekusanyika pamoja naye.

0 comments:
Post a Comment