BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MGOMBEA WA URAIS CCM DKT JOHN MAGUFULI AFUATA NYAYO ZA RAIS JAKAYA KIKWETE

Mgombea urais kupitia CCM, Dkt JOHN Magufuli akisalimiana na kijana mlemavu pia na kuwajulia hali watawa wa kanisa katoliki wakati wa ziara ya kampeni ya urais nyanda za juu kusini jana kuomba kura za kuweza kumchagua ili kuongoza nchi katika kipindi cha miaka tano ijayo katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika oktoba 25 mwaka huu wa urais, ubunge na udiwani.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: