Katibu mkuu wa chadema Dk Willibroad Slaa akionekana katika vazi rasmi la chama cha mapinduzi CCM ikiwa ni mzaha kuelekea uchaguzi mkuu Oktoba ambapo katibu huyo amekuwa haonekani ndani ya chama chake kufuatia ujio wa aliyekuwa waziri mkuu Edward Lowassa kuhama CCM na kuingia CHADEMA kisha kupewa nafasi ya kugombea urais kupitia UKAWA ambapo wachunguzi wa kisiasa jambo hilo linadaiwa kumkasirisha Katibu huyo.
Picha halisi ya Dk Slaa ni hiyo aliyovaa vazi rasmi la Chadema.

0 comments:
Post a Comment