BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWANARIADHA MLEMAVU OSCAR PISTORIUS AACHILIWA KUTOKA GEREZANI BAADA KUHUKUMIWA KIFUNGO KWA KOSA LA KUMUA MPENZI WAKE KWA RISASI.


Waziri wa sheria nchini Afrika Kusini amepinga uamuzi wa kuachiliwa kwa mwanariadha Oscar Pistorius.

Michael Masutha amasema kuwa uamuzi wa kumuachilia mwanariadha huyo umechukuliwa mapema. Oscar Pistorius na Reeva Steenkamp

Pistorius amekaa gerezani kwa muda wa miezi kumi baada ya kumuua kwa kumpiga risasi mpenziwe Reeva Steenkamp na alitarajiwa kuachiliwa ili atumikie kifungo chake cha nyumami siku ya Ijumaa.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: