BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

TAMBUA DALILI CHUNGU MZIMA ZA UGONJWA WA VIDONDA VYA TUMBO NA TABIA ZAKE.

 
Dalili za ugonjwa wa vidonda vya tumbo
Dalili zitakazokufanya ujihisi una vidonda vya tumbo ni pamoja na;
Kuchoka choka sana bila sababu maalum
Kuuma mgongo au kiuno
Kupungukiwa au kupoteza kabisa nguvu za kijinsia
Kizunguzungu
Kukosa usingizi
Usingizi wa mara kwa mara
Maumivu makali sehemu ya mwili
Kifua kwa ndani kana kwamba unachomwa na kitu cha moto au chenye ncha kali. Maumivu hayo wakati mwingine hutokeza mgongoni na huchoma kama sindano yenye sumu na kuacha maumivu makali
Kichefuchefu
Kiungulia
Tumbo kujaa gesi
Tumbo kuwaka moto
Maumivu makali sehemu kilipo kidonda
Kukosa choo au kupata choo kwa shida tena kikiwa kigumu na chenye kukatika kama cha mbuzi
Kutapika nyongo
Kutapika damu au kuharisha
Sehemu za mwili kupata ganzi
Kukosa hamu ya kula
Kula kupita kiasi
Kusahahu sahau na
Hasira bila sababu.

Kwa kweli ni vigumu kueleza maumivu yote apatayo mgonjwa wa vidonda vya tumbo hasa kwa mwenye vidonda sugu kwani hakuna hata kiungo kimoja mwilini atakachokuambia ni kizima.

Kama una swali liulize hapo chini sasa hivi
Umeipenda makala hii?.Chanzo:http://www.fadhilipaulo.com
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: