Maelfu ya wananchi wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha wamejitokeza kumpokea na kumsikiliza mgombea urais wa CHADEMA kupitia UKAWA na waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa huku wakishuhudia wanachama wa (CCM) na viongozi akiwemo aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Laurence Masha kuikihama chama cha mapinduzi na kujiunga na CHADEMA.ITV
WAZIRI WA ZAMANI WA MAMBO YA NDANI LAURENCE MASHA AHAMIA CHADEMA NA KUKIPA MKONO WA HERI CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) ARUSHA.
Maelfu ya wananchi wa ndani na nje ya mkoa wa Arusha wamejitokeza kumpokea na kumsikiliza mgombea urais wa CHADEMA kupitia UKAWA na waziri mkuu wa zamani Edward Lowasa huku wakishuhudia wanachama wa (CCM) na viongozi akiwemo aliyewahi kuwa waziri wa mambo ya ndani Mh Laurence Masha kuikihama chama cha mapinduzi na kujiunga na CHADEMA.ITV

0 comments:
Post a Comment