BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAANDISHI NA MAFUNZO YA UANDISHI WA HABARI ZA UCHAGUZI DODOMA.

Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia matukio yaliyokuwa yakiendelea wakati wa mafunzo ya kuripoti habari za uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 25 mwaka wa kuchagua madiwani, wabunge na rais ambapo kwa sasa vyama vya siasa vimejikita kueneza sera na ilani ya vyama vyao yaliyoanza Septemba 15 hadi Septemba 17 na kufanyika kwenye hoteli ya Royal Village mkoani Dodoma.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: