BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BAADHI YA MAJIMBO YA UBUNGE YENYE USHINDI NDIYO HAYA UCHAGUZI MKUU 2015

Ccm Harrison Mwakyembe kapata 44269, Chadema (mwanyamaki Abraham) kura 39379,Act (Samwel Andrea) kura 275,Dp (Zamoyoni Peter) 201.

Jimbo la Singida Mashariki:
Tundu Lissu wa Chadema, ameshinda kwa jumla ya kura 25010,
dhidi ya mpinzani wake wa karibu Jonathan Njau wa CCM, aliyepata kura 18614.

Aliyekuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Hai Freeman Mbowe kwa tiketi ya
Chadema chini ya mwamvuli wa vyama vya Ukawa, ameibuka mshindi katika
uchaguzi mkuu uliofanyika jumapili octoba 25 kwa kupata kura 51,124
dhidi ya wapinzani wake,Dastani Mally (CCM) aliyepata kura 26,996.

Akitangaza matokeo hayo msimamizi wa uchaguziwa Jimbo la Hai Said
Mderu alisema wagombea wengine walikuwa wagombea nafasi hivyo ni Nuru
Mohamed(ACT) aliyepata kura 315,pamoja na mgombea wa APPT Maendeleo
Ndashuka Issa aliyepata kura 279,ambapo wagombea wote walioshinda
hakuna aliyejitokeza wakati wa kutangazwa kwa mshindi.

Kwa upande wa Madiwani Chadema imefanikiwa kuchukua kata zote 16 za
Jimbo hilo ukiacha kata moja ya Hai Mjini ambayo haikufanya uchaguzi
kutokana na mgombea wake kufariki dunia.

NEC matokeo jimbo la Handeni vijijni,Tanga.
   
1.Mwelekwa Ally ACT-Wazalendo -789
2.Frank Mohala ADC-471
3.Janeth Kikowe AFP-500
4.Mboni Mhita CCM-50268
5.Haji Mwikalo
CHADEMA-8993
6.Kilango Richard CUF- 5580.
NB.Mkurugenzi ametoa matokeo haya akadai atatoa vizuri kesho ila kura  walizopata ndio hizo.

Matokeo Bukoba Mjini Ndibalema Osward TLP 81,Matsawilli Juma.Fahami ACT 453,Khamis Kagasheki CCM 25565,Wilfred Lwakatare Chadema 28112.
Matokeo ya jimbo la Malinyi Dk haji mponda 20876 sawa 51% ccm.Chadema kura18815 sawa 46% Mbasa.ACT-WAZALEMDO Kura 1095.
Taarifa kutoka kwa msimamizi Wa uchaguzi halmashauri ya wilaya ya Malinyi Said Msomoka.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: