BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

CCM YATOA MSIMAMO JUU YA KUFUTWA KWA UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR NA TUME YA UCHAGUZI.


Chama cha mapinduzi Zanzibar kimetoa msimamo wake kuhusu kufutwa kwa uchaguzi mkuu wazanzibar ambapo kimesema kinaunga mkono uamuzi wa tume na kinajiandaa na marudio ya uchaguzi huo.

Akitangaza uamuzi huo naibu katibu mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuia amemsmea CCM inakubaliana na uamuzi huo kwa vile uko sahihi na sababu zilizotolewa ni za kweli na zilichangaia uchaguzi huo kutukuwa huru na wa haki ambapo amesema CCM ilinyimwa fursa kadhaa za kisheria na baadhi ya maofisa wa tume hiyo.ITV



Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: