BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS ROBERT MUGABE AELEZA YEYE NI MZIMA WA AFYA KAMA KIGONGO

Rais Mugabe akila mwelekea hivi karibu baada ya kujikuaa.

Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amerudi nyumbani baada ya likizo ya mwezi mmoja nchi za nje, juma moja baada ya wakuu kukanusha ripoti kwamba alishikwa na ugonjwa wa moyo.

Bwana Mugabe, mwenye umri wa miaka 91, alisema ni mzima kama kigongo.

Anakutana na kiongozi mwengine mkongwe wa Afrika, Teodoro Obiang Nguema wa Equatorial Guinea, ambaye anafanya ziara rasmi nchini Zimbabwe.

Rais Nguema ameongoza Equatorial Guinea kwa miaka 36, mwaka mmoja zaidi ya Rais Mugabe.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: