Utafiti uliofanywa hivi karibuni umebaini kuwa wajawazito wanaokula samaki mara kwa mara wakati mimba hujifungua watoto wenye afya bora ya ubongo.
Aidha utafiti huo umebainisha kuwa mjamzito anayekula samaki angalau mara moja kwa wiki katika kipindi chote cha ujauzito, mtoto atayezaliwa na afya bora ya ubingo.
Inaelezwa kuwa mafuta yaliyopo kwenye samaki hao ni tiba tosha ya kuimarisha ubongo wa mtoto na baada ya kuzaliwa.

0 comments:
Post a Comment