DKT MASHINJI AKABIDHIWA MIKOBA YA DKT SLAA USIKU WA MANANE BAADA YA KUSHINDA UKATIBU MKUU CHADEMA JIJINI MWANZA.
Wajumbe wa Baraza kuu Chadema
Usiku wa March 12 2016, Chadema imeweka kumbukumbu mpya ya kumpata Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Vicent Mashinji anayechukua nafasi ya Dk. Wilbroad Slaa, kwenye kikao cha Baraza kuu la Chadema.
Wajumbe wa Baraza kuu Chadema wa pili kulia ni Tundu Lissu.
Kipaumbele chetu ni katiba ya wananchi ni kitu cha kwanza tutakacho kisimamia tunacho hitaji kwa sasa ni kufumua mfumo wa kiutawala kwa kuwa kumekuwa na muuingiliano wa kimajukumu kingine ni kwenda kuuwezesha umma uweze kutambua haki zao na uwe tayari kutetea haki zao.alisema Vicent Mashinji baada ya kuibuka mshindi nafasi ya Katibu Mkuu Chadema.
Dkt Mashinji Aliongeza kwa kusema kuwa Kila mtu ana ndoto hiyo hata mtoto mdogo ukimuuliza atakwambia ana tamani kuwa mtu flani, bahati mbaya Dk. Slaa sijamkuta ofisini hivyo ni ngumu kulinganisha viatu vyake na vyangu.
Mbunge wa Arusha mjini Godbess Lema
Naibu Katibu Mkuu Salum Mwalimu akimpongeza Katibu Mkuu wake.
Meya wa Kinondoni Boniface Jakob na Mbunge wa Kawe Halima Mdee
Aliyekuwa mgombea Urais Edward Lowassa
Mwenyekiti wa Chadema Taifa Freeman Mbowe
Naibu Katibu Mkuu Salumu Mwalimu
Wasifu wa Katibu Mkuu mpya wa Chadema, Vicent Mashinji.
Professional experience
July 2008 – Present
Clinical Advisor & TB/IHV
August 2006 – June 2008 ( 1 year 10 months)
ART Program Doctor/IMA team lead
IMA Worldheath
October 2005 – August 2006 ( 10 months)
Medical Officer/Anaesthesiology
Regency Medical Center
August 2003 – October 2005 ( 2 years 2 months)
Medical Officer
Muhimbili National Hospital
November 2002 – August 2003 (9 mothns)
Research Assistant
Freelance
September 2001 – October 2002 (1 year 1 mothn)
Intern Doctor
Muhimbili National Hospital
Education history
August 2010 – Present
Open University of Tanzania
PhD
April 2010 – April 2010
AMREF/UCLA Anderson School
MDI Certificate
September 2007 – March 2010 ( 2 years 6 mothns)
Blekinge Institute of Technology
MBA
May 2008 – May 2008
UMSOM-IHV
IPEP Certificate
October 2005 – October 2005
Evin School of Management
Certificate in CSR
September 2003 – April 2005 ( 1 year 7 mothns)
Muhimbili University College of Heath Sciences
MMed/Anaesthesiology
September 2004 – September 2004
Muhimbili University College of Health Sciences
Certificate in Research Methodology
October 1995 – July 2001 (5 years 9 mothns)
Makerere University
MBChB
July 1992 – June 1994 (1 year 11 mothns)
Mzumbe High School
ACSEE
January 1988 – October 1991 (3 years 9 mothns)
St. Pius X Seminary, Makoko
GCSEE
January 1981 – October 1987 (6 mothns)
Iligamba Primary School
Leaving Certificate/Primary School
Kama ilivyopokelewa na MTANDA BLOG.
0 comments:
Post a Comment