BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HAMIS KIIZA AIPELEKA SIMBA SC KILELENI MSIMAMO WA LIGI YA TANZANIA BARA

Klabu ya Simba SC imerejea katika uongozi wa ligi kuu Tanzania Bara baada ya kazi mzuri ya washambuliaji Hamis Kiiza na Mwinyi Kazimoto kuzivumania nyavu mara tatu dhidi ya Ndanda FC katika mchezo uliofanyika kwenye uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam leo.

Kazimoto alianza kupachika bao la kwanza huku mshambuliaji Hamis Kiiiza akifunga bao mbili pekee yake katika ushindi huo wa bao 3-0 ambapo umemfanya kuongoza katika mbio za kumsaka mfungaji bora kwa kufunga bao 18 akimzidi bao 1 Amis Tambwe wa Yanga SC mwenye bao 18. 


Yanga SC imeshushwa hadi nafasi ya pili huku Azam FC wakiganda nafasi ya tatu.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: