BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS DKT MAGUFULI AMSHUSHA CHEO OMBENI SEFUE KATIKA NAFASI YA KATIBU MKUU KIONGOZI DAR ES SALAAM


OMBENI SEFUE.

KATIBU MKUU MPYA: Rais John Magufuli amemteua Balozi Mhandisi John Kijazi kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Mhandisi Kijazi aliyekuwa balozi wa Tanzania nchini India, anachukua nafasi ya Balozi Ombeni Sefua ambaye atapangiwa kazi nyingine. 

Ikulu yatangaza leo kwa umma.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: