MABASI YA MWENDO KASI 34 YAGONGWA TANGUA YAANZE KASI NDANI YA SIKU 14 TU JIJINI DAR ES SALAAM.
Mabasi ya mwendo kasi 34 katika jijini la Dar es Salaam yameshagongwa tangu yaanze kazi wiki mbili zilizopita huku kila basi likigharimu kiasi cha Sh 2.8-3.8 Milioni ikiwa ni kwa ajili ya matengenezo. UDART imeeleza.
0 comments:
Post a Comment