Klabu ya Yanga SC ya Dar es Salaam Tanzania imesonga mbele katika michuano ya hatua ya makundi ya kombe la shirikisho baada ya kufungwa bao 1-0 katika mchezo wa marudiano kati ya wenyeji wao klabu ya Sagrada Esparanca uliofanyika leo Mei 18 kwenye mjini Dundo Angola.Sagrada Esparanca walihitaji ushindi wa bao 3-0 nyumba ili kusonga hatua ya pili lakini kutokana na kupata ushindi wa bao 1-0 wamekubalia kuacha Yanga SC kusonga mbele kufuatia mchezo wa awali kufungwa bao 2-0 katika mchezo uliofanyika hivi karibuni jijini Dar es Salaam

0 comments:
Post a Comment