ALIYEMTUKANA RAIS JOHN MAGUFULI AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA MITATU AU KULIPA FAINI YA SH7 MIL ARUSHA. mtanda blog 1:06 PM kitaifa , siasa , slider Edit Mahakama Arusha yamhukumu Isack Habakuki(40) mkazi Wa Olasiti, Arusha kwenda jela miaka 3 au kulipa faini ya Sh7 milioni kwa kumtukana Rais Magufuli kupitia mtandao wa Facebook. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About mtanda blog Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment