BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

HOSPTALI YA TUMBI KIHABA YAINGIA MATATANI KWA UZEMBE

 
Dar es Salaam. Mkazi wa Kibamba, Prosper Mkumbi amelalamikia kuchelewa kutekelezwa kwa hukumu iliyotolewa na Mahakama Kuu, ikiitaka Serikali imlipe fidia ya Sh200 milioni kwa kusababisha kifo cha mkewe mwaka 1998.

Inadaiwa kuwa kifo hicho kilitokana na uzembe wa madaktari katika hospitali ya Tumbi, iliyopo Wilaya ya Kibaha mkoani Pwani.

Hukumu ilitolewa na Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam Juni 20, 2014 na Jaji Rose Teemba, imechukua miaka miwili bila kutekelezwa.

Alipotafutwa Ofisa Habari wa Hospitali ya Tumbi na Kibaha Education Center, Lucy Penindu alisema hawezi kulitolea ufafanuzi suala hilo kwa kuwa si siku ya kazi, hivyo aliomba muda mpaka Jumatatu ndipo aweze kutoa taarifa sahihi.MWANANCHI
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: