Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewakumbusha wananchi kwamba kesho saa 6.00 usiku ndiyo ukomo wa mawasiliano ya simu bandia za kiganjani. Pia imesema mfumo huo utadhibiti wizi wa simu.
Mhandisi James Kilaba amesema baada ya mamlaka hiyo kutoa elimu kwa kushirikiana kampuni za simu, hadi sasa simu zitakazozimwa ni asilimia tatu tu huku simu halisi ambazo hazitaathirika ni asilimia 97.

0 comments:
Post a Comment