BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

KIONGOZI WA MAGENGE YA UHALIFU AKAMATWA.Mmoja wa viongozi wa magenge makubwa zaidi ya uhalifu nchini Italia ambaye amekuwa akitafutwa kwa miaka 20 amekamatwa.

Polisi nchini Italia wanasema kuwa Ernesto Fazzalari mwenye umri wa miaka 46 alikamatwa eneo la kusini la Calabria

Alikuwa akikimbia hukumu ya maisha na mashtaka ya mauaji
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment