
ﻣَــﻦْ ﻫُــﻮَ ﺍﻟﺼَّﺎﺋِــﻢُ؟
Ni nani aliyefunga
ﻗَـﺎﻝَ الإمَـامُ ﺍﺑْـﻦُ ﺍﻟﻘَـﻴِّﻢ -ﺭَﺣِــﻤَﻪُ ﺍﻟﻠﻪ
Amesema Ibnul Qayyim Allah amrehemu.
●ﻭﺍﻟﺼَّﺎﺋﻢ ﻫﻮ ﺍﻟَّﺬﻱ ﺻﺎﻣﺖ ﺟﻮﺍﺭﺣﻪ ﻋﻦ ﺍﻵﺛﺎﻡ
Na aliyefunga niyule ambaye vimefunga viungo vyake kutokana na madhambi.
●ﻭﻟﺴﺎﻧﻪ ﻋﻦ ﺍﻟﻜﺬﺏ ﻭﺍﻟﻔﺤﺶ ﻭﻗﻮﻝ ﺍﻟﺰُّﻭﺭ
Na ukafunga ulimi wake kutokana na uongo na maneno machafu na kauli mbaya.
●ﻭﺑﻄﻨﻪ ﻋﻦ ﺍﻟﻄَّﻌﺎﻡ ﻭﺍﻟﺸَّﺮﺍﺏ ﻭﻓﺮﺟﻪ ﻋﻦ ﺍﻟﺮَّﻓَﺚ،
Na likafunga tumbo lake kutokana chakula na vinywaji na tupu yake kutokana jimaai.
●ﻓﺈﻥْ ﺗﻜﻠَّﻢ ﻟﻢ ﻳﺘﻜﻠَّﻢ ﺑﻤﺎ ﻳﺠﺮﺡ ﺻﻮﻣﻪ
Ikiwa ataongea haongei yale ambayo yataharibu swaumu yake.
●ﻭﺇﻥ ﻓﻌﻞ ﻟﻢ ﻳﻔﻌﻞ ﻣﺎ ﻳﻔﺴﺪ ﺻﻮﻣﻪ
Na akifanya hafanyi yale ambayo yataharibu swaumu yake.
●ﻓﻴﺨﺮﺝ ﻛﻼﻣﻪ ﻛﻠُّﻪ ﻧﺎﻓﻌًﺎ ﺻﺎﻟﺤًﺎ،
Yanatoka maneno yake yote ni yenye manufaa na mazuri.
●ﻭﻛﺬﻟﻚ ﺃﻋﻤﺎﻟﻪ ﻓﻬﻲ ﺑﻤﻨﺰﻟﺔ ﺍﻟﺮَّﺍﺋﺤﺔ ﺍﻟَّﺘﻲ ﻳﺸﻤُّﻬﺎ ﻣﻦ ﺟﺎﻟﺲ ﺣﺎﻣﻞ* ﺍﻟﻤﺴﻚ،
Na vilevile matendo yake nisawa na harufu ambayo anainusa ambaye amekaa na mbeba miski.
●ﻛﺬﻟﻚ ﻣﻦ ﺟﺎﻟﺲ ﺍﻟﺼَّﺎﺋﻢ ﺍﻧﺘﻔﻊ ﺑﻤﺠﺎﻟﺴﺘﻪ
Na vilevile mwenye kukaa na mfungaji hunufaika kwa kukaa naye.
●ﻭﺃَﻣِﻦ ﻓﻴﻬﺎ ﻣﻦ ﺍﻟﺰُّﻭﺭ ﻭﺍﻟﻜﺬﺏ ﻭﺍﻟﻔﺠﻮﺭ ﻭﺍﻟﻈُّﻠﻢ
Atasalimika kwake na maneno mabaya na uongo na uovu na dhulma.
●ﻫـﺬﺍ ﻫﻮ ﺍﻟﺼـَّﻮﻡ ﺍﻟﻤﺸـﺮﻭﻉ ﻻ ﻣﺠـﺮَّﺩ ﺍﻹﻣـﺴﺎﻙ ﻋﻦ ﺍﻟﻄَّـﻌﺎﻡ ﻭﺍﻟﺸَّـﺮﺍﺏ.
Hii ndio swaumu iliyo fundishwa na sharia si tu; kujizuia kutokana na chakula na vinywaji
●ﻓﺎﻟﺼَّﻮﻡ ﻫﻮ ﺻﻮﻡ ﺍﻟﺠﻮﺍﺭﺡ ﻋﻦ ﺍﻵﺛﺎﻡ
Basi funga nikufunga viungo kotokana na madhambi
●ﻭﺻﻮﻡ ﺍﻟﺒﻄﻦ ﻋﻦ ﺍﻟﺸَّﺮﺍﺏ ﻭﺍﻟﻄَّﻌﺎﻡ،
Natumbo kutokana na kunywa na kula.
●ﻓﻜﻤﺎ ﺃﻥَّ ﺍﻟﻄَّﻌﺎﻡ ﻭﺍﻟﺸَّﺮﺍﺏ ﻳﻘﻄﻌﻪ ﻭﻳﻔﺴﺪﻩ ﻓﻬﻜﺬﺍ ﺍﻵﺛﺎﻡ ﺗﻘﻄﻊ ﺛﻮﺍﺑَﻪ ﻭﺗﻔﺴﺪُ ﺛﻤﺮﺗَﻪ، ﻓﺘُﺼَﻴِّﺮﻩ ﺑﻤﻨﺰﻟﺔ ﻣﻦ ﻟﻢ ﻳﺼُﻢ .
Kama ilivyokua chakula na kinywaji vinaharibu swaumu, vilevile madhambi huaribu thawabu za swaumu na matunda yake.

0 comments:
Post a Comment