BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MWAMUZI WA SOKA ALAZIMIKA KUMTOA MCHEZAJI KWA KADI NYEKUNDU UWANJANI KWA KUTOA HEWA CHAFU

 
Refa mmoja raia wa Sweden, alimpa kwa mpigo kadi mbili za njano mwanasoka, Adam Lindin Ljung-kvist akiwa uwanjani, kwa kosa la kutoa hewa mbaya.

Mchezaji huyo alipokuwa katika harakati za kushangaa kuhusiana na hatua ya refa huyo, alipigwa kadi nyekundu na kuondolewa uwanjani.


Refa huyo ametaja kitendo cha Adam cha kutoa ushuzi , kama tabia isiyo ya mchezaji.


Lakini kulingana na Adam, alidhani alikuwa akifanya hivyo kimaumbile tu na wala hakuwa na nia ya kumchafulia refa hewa.
Taarifa hiyo imeibua malumbano makubwa kote duniani katika mtandao wa kijamii, huku wengine wakisema kuwa hiyo ni mara ya kwanza kwa mchezaji soka kupigwa kadi nyekundu kwa sababu ya kuchafua hewa.


Referee gave Adam Lindin Ljungkvist two yellow cards, and finally a red, when he broke wind during a match.

The ref called Adam's flatulence "unsportsmanlike" and, according to Adam, thought he was "farting on.  
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment