BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WABUNGE WA UPINZANI WAZIBA MIDOMO WAKATI WAKITOKA KATIKA UKUMBI KUSUSIA VIKAO VYA BUNGENI DODOMA

BUNGENI: Wabunge wa upinzani waziba midomo yao kwa karatasi na utepe na kutoka nje ya Ukumbi wa Bunge wakigomea kushiriki vikao vinavyoongozwa na Naibu Spika.
Baadhi ya wabunge wanawake wakiwa wanajipiga picha.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment