AISE !!! TABASAMU LA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE LAZAA KICHEKO KWA RAIS DK JOHN MAGUFULI
Rais Dk John Magufuli kulia akifurahia jambo kwa kucheka, sijui Rais mstaafu awamu ya nne Dk Jakaya Kikwete alimweleza jambo gani lililopelekea kuwa na kiwango cha furaha cha asilimia 120% katika picha iliyopigwa hivi karibu jijini Dar es Salaam.
0 comments:
Post a Comment