HABARI MPYA !! CHADEMA YASHINDA KESI YA UCHAGUZI DHIDI YA CCM JIMBO LA MLIMBA NA KILOMBERO MOROGORO
Kesi iliyofunguliwa ya kupinga ushindi wa wabunge wa Chadema katika majimbo ya Kilombero na Mlimba, yametupiliwa mbali pingamizi hizo na majaji wa mahakama kuu waliokuwa wakisikiliza kesi hizo na leo kutoa hukumu ambao waliokuwa wagombea ubunge katika majimbo hayo CCM, Abubakari Asenga Kilombero na Godwin Kunambi Mlimba mahakama kuona ushahidi uliosikilizwa kutokuwa na nguvu ya kutengua ubunge kwa wabunge hao.
0 comments:
Post a Comment