Jeshi la polisi wakati mwingine hulazimika kuonesha moyo wa kujizuia ili kuwaokoa raia wengi pindi yanapotokea machafuko, mitindo ya maisha ya binadamu inaamuliwa na utawala wa sheria, na kwamba kulinda sheria ni kazi ngumu.
Rais Barack Obama Marekani Julai 12 mwaka 2016 alisema hayo wakati alipokwenda Dallas, Texas kuhudhuria hafla ya kuwakumbuka polisi waliouawa alhamisi iliyopita.

0 comments:
Post a Comment