SIMBA SC ILIVYOIBUKA NA USHINDI WA BAO 6-0 DHIDI YA POLISI MORO SC MOROGORO
Mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Ajibu akimiliki mpira mbele ya ya mlinzi wa Polisi Moro SC, Omari Alawi wakati wa mchezo wa kirafiki uliofanyika kwenye uwanja wa HighLand Morogoro ambapo Simba inayojiandaa na ligi kuu Tanzania bara msimu wa mwaka 2016/2017 ilishinda bao 6-0 wakati Polisi yenyewe ipo katika maandalizi ya ligi daraja la kwanza.PICHA/JUMA MTANDA
0 comments:
Post a Comment