
Simba ilijipata bao nne kupitia kwa mshambuliaji wake mpya wa kimataifa, Laudit Mavugo huku bao la tau likiwekwa kimiani na mshaambuliaji wa pembeni Shiza Kichuja dhidi ya FC Leopards ya Kenya kwa bao 4-0.
Mshambuliaji mzawa, Ibrahim Ajib alifunga mabao mawili katika kipindi cha kwanza na pili dhidi ya wapinzani wao ambao waliambulia patupu

0 comments:
Post a Comment