BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NCHI YA KABUMBU (BRAZIL) INAYOGUBIKWA NA UFUKARA WA KUTUPWA.

 
Na Geofrey Chambua
Brazil ni nchi kubwa kuliko zote huko Amerika ya Kusini na pia ni nchi yenye wakazi wengi kushinda nchi zote za bara hilo. Eneo lake ni karibu nusu ya bara lote. Hii ni nchi ya tano kwa ukubwa duniani na Haijawahi kukosa Kushiriki kombe la dunia.


Ni mojawapo ya nchi masikini sana duniani huku wananchi wengi wakiwa hawana maji wala umeme na mamilioni ya watoto wakiishi mtaani kwa kubwia unga na kujiuza

1:Operesheni kubadili jinsi ya mwanamke kuwa mwanaume ama mwanaume kuwa mwanamke inafanyika bila malipo kwa hospitali zote za umma na hii iliwekwa kwenye mpango maalumu wa afya wa mwaka 2008. Mji wa Rio De Jeneiro (River of January/Mto wa Januari) pekee una mashoga wengi sana kwani karibia 20% ya wanaume ni mashoga

2:Serikali ya Brazili husambaza maziwa ya mama (breast milk) bure kwa kina mama wasioweza kiwanyonyesha watoto wao.

3: Kama wewe ni mfungwa Brazil basi una uwezo wa kijipunguzia siku 4 kwenye kifungo chako endapo tu utasoma kitabu chochote na kukiandikia report na kumkabidhi Bwana Jela kisha mamlaka husika itachambua na utakuwa umepunguza siku 4 za kukaa ndani kwa kila kitabu

4:Asilimia 35% ya wanaume wa maeneo ya vijijin Brazil wameshawahi/hufanya mapenzi na wanyama. Ni nchi ambayo wanaume 'hukodisha wake zao' alimradi mkono uende kinywani.

5: 92% ya magari mapya huko Brazili yanatumia Ethanol kama Fuel na inatokana na zao la MIWA

6: Miaka ya nyuma Rio De Janeiro ilishawahi kuwa mji mkuu wa Portugal na kufanya kuwa mji mkuu wa kwanza kwa mabara tofauti

7: Mapinduzi yaliyopeleka brazili kuwa jamhuri hayakupangwa na ni mashahidi wachache tu walishuhudia hata aliyepinduliwa hakujua kinachoendelea unaweza sema ni kama bahati mbaya tu.

8: Wakimbiaji riadha mwaka 1932 walikuwa na ukata na hela hivyo kipindi wanaenda kushiriki Marathon wakabeba mzigo mkubwa wa kahawa ili wawe wanauza njiani pindi wapo safarini ili kukidhi ile hela

9. Mnamo mwaka 1958, mnyama FARU aliyekuwa na umri wa miaka mitano aliruhusiwa kuwa mgombea wa kiti cha jimbo la Sao Paulo na yasemekana alishinda katika uchaguzi huo.

Cha kujiuliza ni kwamba iweje faru ashiriki kwenye uchaguzi mkubwa kama huo? Jibu ni kwamba wakati huo wananchi wa jimbo hilo walikuwa wamechoshwa sana na hali ya rushwa iliyokithiri, uhaba wa chakula na pia hali ngumu ya maisha kwa ujumla. 


Hivyo kwenye uchaguzi huo wanafunzi wakaamua kuchapa karatasi nyingi za kura zikiwa na jina la faru aliyekuwa akiitwa Cacareco ambaye alikuwa ni maarufu jimboni humo na akiishi kwenye zoo.

Siku ya kupiga kura wananchi wakawa wanatumbukiza karatasi zenye jina lake kwenye sanduku la kura na mwisho wa siku matokeo yakaonyesha kwamba alipata jumla ya 51% ya kura zote

Uvunaji wa kiasi hicho cha kura ulikuwa ni mkubwa kwani zilikuwa ni nyingi zaidi kuliko za wagombea wengine. Kuna baadhi ya wapiga kura wengine ambao waliamua kuweka maharage meusi badala ya karatasi za kura kwenye bahasha za kuwekea kura.


Wapiga kura waliamua kufanya hivyo kwa vile waliona ni bora kumchagua huyo kifaru kuliko kumchagua mla rushwa kuwaongoza.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: