BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

PALIPO NA WEZI HAKUNA MAENDELEO, JE NI KWELI ?.

 
Palipo na wezi hakika hakuna maendeleo na hata kama kutakuwa na fedha zinapatikana kwa ajili ya maendeleo kutoka kwenye vyanzo vya mapato ya kikundi, taasisi, kampuni na n:k lakini wakianza watu ama mtu kujitokeza kuwa bna tabia ya kuiba fedha ama mali, sehemu hiyo itakumbwa na laana ya kutopata maendeleo.

Suala la maendeleo linahitaji fedha za kuibua ama kuendeleza miradi ili inufaishe sehemu husika lakini bado litakuwa ni ndoto kupata maendeleo mpaka mmoja wenu katika eneo hilo akerwe na tabia ya wizi wa mali au fedha lakini asiishie hapo atalazimika kuwa na moyo wa ujasiri utaomwezesha kutoa siri katika vyombo vya dola ili viingilie kati.

Vyombo vya dola litasaidia kukamata watuhumiwa kisha kufanya uchunguzi na uchunguzi huo unaondana na upelelezi kukamilika, sheria stahiki zitachukuliwa dhidi yao.


Hapo sasa kikundi, taasisi, kampuni itapata mwanya wa kupata maendeleo na hiyo ni kutokana na kundi la wezi kuondoka kwani penye wezi, rushwa, ufisadi hakuna maendeleo.
WAZO KUTOKA MTANDA BLOG augosti 08/2016.


Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: