Bao la Yanga lilifungwa na mshambuliaji na Amiss Tambwe dakika ya pili katika mchezo huo huku kila timu ikikosa mabao ya wazi kutokana na nafasi walizotengeneza.
Kikosi cha Yanga SC kilichoanza ni pamoja na:
1.Deogratius Munishi Dida
2.Juma Abdul Japhary
3.Haji Mwinyi Ngwali.
4.Andrew Vicent Dante
5.Vicent Bossou
6.Mbuyu Twite Junior
7.Saimon Happygod Msuva
8.Thaban Michael Kamusoko
9.Amiss Jocelyn Tambwe.
10.Obrey Cholla Chirwa
11.Deus David Kaseke
Akiba.
Benno Kakolanya
Oscar Fanuel Joshua
Malimi Marcel Busungu
Haruna Niyonzima Fabregas
Juma Said Makapu
Kelvin Patrick Yondani
Juma Mahadhi Neymar.

0 comments:
Post a Comment