BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS MAGUFULI AKERWA NA MITANDAO YA KIJAMII, ATAMANI MALAIKA AZIME KWA MWAKA MMOJA TU

''Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka mmoja ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400,
Rais John Magufuli katika uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambazo ndege hizo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.

Magafuli alisema kuwa kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wamekuwa na tabia ya kuandika bila kuwa na taarifa sahihi."No research no right to speak".
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: