BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SIMBA SC YAIVUTA SHARTI YANGA SC LIGI KUU TANZANIA BARA 2016/2017

Klabu ya simba sc imeizuia yanga sc kupata ushindi katika ligi kuu tanzania bara baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 baada ya Ramadhani Kichuya kufunga bao la kusawazisha dakika ya 87 kwa mpira wa kona ulioingia moja kwa moja katika nyavu za yanga.

Bao hilo la simba la kusawazisha lilitokana na bao lililofungwa na yanga kupitia kwa mshambuliaji wake Mrundi, Amiss Tambwe baada ya kupokea mpira wa juu na kuutuliza kifuabi na kupachika bao hilo dakika ya 26 na kuufanya mchezo huo umalizike kwa Yanga 1 -1 Simba. 


Kutokana na sare hiyo, simba imeendelea kukaa kileleni mwa msimamo wa ligi kuu tanzania bara huku Amiss Tambwe wa yanga na Ramadhani Kichuya wa simba wakiwa wamefunga bao tano kila mmoja.

Simba inaongoza ligi hiyo kwa pointi 17.

.
1.Simba651012:217
2.Stand U.63306:312
3.Young Africans53118:111
4.Azzam63128:510
5.Mtibwa Sugar63127:610
6.Kagera Sugar62314:39
7.Tanzania Prisons62313:29
8.Mbeya City62227:68
9.Mbao72239:108
10.Ruvu Shooting62225:78
11.Ndanda72236:98
12.African Lyon61324:76
13.Ruvu Stars51223:35
14.Toto Africans61231:35
15.Mwadui61233:65
16.Majimaji60062:150
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: