BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

MAKAMU WA RAIS AZOMEWA

Makamu wa rais wa Marekani, Mike Pence, alizomewa kwenye ukumbi wa tamthilia mjini New York.

Bwana Pence alikwenda kuona tamthilia yenye muziki, iitwayo Hamilton, inayotokana na maisha ya mmoja kati ya wazee walioanzisha taifa la Marekani, Alexander Hamilton.

Alizomewa kabla na wakati tamthilia inaendelea.

Mwisho wa tamasha, mchezaji mmoja alisoma barua kwa Bwana Pence, kuonesha wasiwasi kuwa serikali mpya hait-linda watu wa rangi, dini na tabia tofauti.BBC
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: