BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NG'OMBE MKUBWA ZAIDI DUNIA NDIYO HUYU ANA UREFU WA MITA 1.95.

Huyu ni ng'ombe mkubwa zaidi duniani mwenye urefu wa mita 1.95 na uzito wa zaidi ya tani 1, Anaitwa Danniel na anaishi Eureka, Marekani. Kila siku anakula paundi 100 za nyasi, paundi 15 za nafaka, galoni 100 za maji na kutoa pauni 150 za kinyesi.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: