MAMBO 10 YA KUEPUKA ILI FIGO ZA BINADAMU ZISIWE KWENYE HATARI YA KUHARIBIKA
1. Kubana mkojo muda mrefu
2. Kutokunywa maji ya kutosha kila siku
3. Kutumia chumvi nyingi kuzidi kiwango
4. Kula nyama mara nyingi
5. Kutokula chakula cha kutosha
6. Kuchelewa kujitibu maambukizi madogo madogo haraka na kwa usahihi
7. Kutumia visivyo dawa za kutuliza maumivu
8. Kutumia dawa kwa ajili ya insulin kwa muda mrefu
9. Kunywa pombe kupita kiasi
10. Kutopata muda wa kutosha kupumzika
Inakupasa kunywa glasi mbili za juisi ya parachichi kila siku kwani kutaziweka figo zako kuwa katika hali ya usafi na afya siku zote.
0 comments:
Post a Comment