BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

SIKU YA UKIMWI DUNIANI NA MPANGO WA DAWA ZA ARVs

https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcR7obFMCoxpXL5gnD9Tl0_yUSRi8rN66RbygJ7qGwKX8KYKUlvr7AWizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeagiza wale wote ambao wanakutwa na maambukizi ya VVU, waanze kupata huduma ya dawa za ARVs mara moja.

Kauli hiyo imetolewa mapema leo na Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ikiwa ni katika maadhimisho ya siku ya ukimwi duniani ambayo huadhimishwa ifikapo Desemba Mosi ya kila mwaka.

Mwalimu alisema utaratibu huo umekuja ili kuwafanya wenye maambukizi waweze kuishi maisha marefu na yaliyo na afya bora.

"Maelekezo ya Shirika la Afya Duniani (WHO) yanazitaka nchi zetu kuwaanzishia dawa mara moja watu wote watakaopima na kugundulika wana VVU, yaani “Test and Treat”," alisema Mwalimu.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: