BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WATU 71 WAANGAMIA AJALI YA NDEGE BAADA YA KUANGUKA HUKU WATU SITA TU WAKIPONA


Miili 71 wa watu walioangamia kwenye ajali ya ndege nchini Colombia ambapo pia timu ya kandanda ya Brazili iliangamia zinarejeshwa nyumbani.

Zaidi ya watu 100,000 wanatarajiwa kujitokesa katika ibada ambayo itafanyika kwenye uwanja wa michezo wa Chapeco baadaye

Ni watu 6 walionusurika kwenye ajali hiyo ya siku ya Jumatatu.
Rais wa Brazil Michele Temer ataamua ndege ya kijeshi ambayo itabeba maiti hizo.
 

Temer anatarajiwa kuwapa tuzo katika sherehe katika uwanja wa ndege wa Chapeco -nyumbani kwa wachezaji hao, Kusini mwa Brazil.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: