BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

Millionaire  Ads

CAMEROON YATWAA UBINGWA WA KOMBE LA MATAIFA YA AFRIKA 2017 KWA KUILAZA MISRI 2-1


Timu ya Taifa ya Cameroon imeibuka bingwa wa fainali za kombe la mataifa ya Afrika kwa kuifunga Misri bao 2 kwa moja.

Bao la ushindi liliingizwa golini katika dakika ya 88.

Misri ambayo ilikuwa imenuia kushinda mashindano hayo na kuweka rekodi ya mshindi mara nane, ilikuwa ikiongoza katika kipindi cha kwanza.

NI mara ya tano kwa Cameroon kubeba kombe hilo ya mataifa ya Afrika na mara yake ya kwanza tangu mwaka 2002.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment
Millionaire  Ads