KUNA wakati huwa ni ngumu kwa wazazi kutambua nini chanzo cha kifo cha
ghafla kwa mtoto mchanga, hali ambayo kwenye jamii zetu za Afrika,
baadhi ya watu uhusisha hali hiyo na imani za kishirikina hasa pale
inapotikea mtoto amefariki bila kuumwa akiwa usingizini. Hii inatokana na baadhi ya wazazi kukosa elimu ya kutosha juu ya vifo vya ghafla. Takwimu zinaonesha kuwa watoto wa kiume ndio wanao athirika zaidi ya wa kike.

0 comments:
Post a Comment