BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WEMA SEPETU AELEZA WAPI AMEIKOSEA CCM ?.

Dar es Salaam. Siku moja baada ya kuhamia Chadema, msanii maarufu nchini wa fani ya uigizaji wa filamu, Wema Sepetu (28) pichani amefunguka na kusema amefanya maamuzi ya kibinadamu wala hajasukumwa na hasira.

Akikabidhiwa kadi ya Chadema leo (Ijumaa), nyumbani kwa mama yake, Sinza jijini hapa, Wema amesema sasa ameingia kwenye mapambano.

“Yaliyonikuta nilijiuliza wapi nilikosea, nilijitoa kuitumikia CCM kwa utu wangu wote, uamuzi wangu sijauchukua kwa hasira bali natafuta demokrasia,”amesema Wema.MWANANCHI
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: