BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

NAPE NNAUYE OUT, RAIS AFAANYA MABADILOKO YA BARAZA LA MAWAZIRI, DK MWAKYEMBE AWA WAZIRI WA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO.

Rais John Pombe Magufuli.

Dar es Salaam.
Rais John Magufuli amefanya mabadiliko madogo ya katika Baraza la Mawaziri kwa kumteua Profesa Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria.
Image may contain: 1 person, sitting and indoorNafasi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Dk Harrison Mwakyembe ambaye anakuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iliyokuwa ikishikiliwa na Nape Nnauye. 

Taarifa iliyotolewa leo asubuhi na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi huo unaanza mara moja na wateule wote wataapishwa kesho mchana.

Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: