BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUSTUKIZA BANDARINI JIJINI DAR ES SALAAM


Rais John Pombe Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza katika bandari ya Dar es Salaam leo.

Katika ziara hiyo Rais Magufuli ameshuhudia makontena 20 ya mchanga wenye madini uliozuiwa kusafirishwa nje ya nchi tangu alipotoa agizo la kupiga marufuku usafirishaji wa mchanga nje ya nchi Machi 2, 2017. 


Pamoja na kushuhudia makontena hayo, Rais Magufuli amemuagiza Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Ernest Mangu na vyombo vingine vya dola kuhakikisha mchanga wa madini unashikiliwa popote ulipo, mpaka hapo uchunguzi wa kina utakapofanyika kubaini ukweli.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: