Bao la Simba limefungwa na kiungo mshambuliaji Mzamiru Yassin huku Kagera Sugar wakiongoza kwa bao mbili zilizofungwa na Edward Christopher na Mbaraka Yusuph na kufanya Simba SC kuwa nyumba kwa bao 2-0.
Mpira unaendelea kwenye uwanja wa Kaibata mkoani Kagera.

0 comments:
Post a Comment