BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS MAGUFULI AMWONDOA IGP MANGU NA KUMTEUA SIMON SIRRO KUWA IPG MPYA

Rais John Magufuli amemteua Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro, kuwa Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP). Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Sirro.

Taarifa iliyotolewa na Ikumu muda mfupi uliopita inasema aliyekuwa IGP, Ernest Mangu, atapangiwa kazi nyingine. 

Taarifa iliyotolewa na katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, inaeleza kuwa Sirro ataapishwa kesho Jumatatu ya Mei 29, 2017 saa 3.00 asubuhi Ikulu jijini Dar es Salaam.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment