BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WAANDISHI WA HABARI WAACHIWA HURU NI BAADA YA KUKAMATWA NA JESHI LQ POLISI ARUSHA SHULE LUCK VICENT

Waandishi waliokamatwa ni pamoja na, Godfrey Thomas ayo tv, Alphonce kusaga Triple A, Filbert Rweyemamu mwananchi, Husein Tuta Itv, Joseph Ngilisho Sunrise radio, Geofrey Steven Radio 5, Janeth Mushi Mtanzania na Zephania Ubwani The Citizen.

Wengine ni Elihuruma Yohani mwakilishi wa  Tanzania Daima na Idd uwesu Azam Tv ambao kwa wameachiwa huru baada ya kufikishwa kituo cha kati cha polisi.

Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment