BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

BREAKING NEWS ! YANGA SC YAPATA PIGO


 

TANZIA
Mwanachama Maarufu wa Yanga, Ally Yanga amefariki kwa ajali ya gari wakati akiwa katika mbio za Mwenge wa Uhuru katika wilaya ya Mpwapwa mkoa wa Dodoma leo.


Maiti ya mpenzi huyo wa soka aliyejizoa sifa kibao kutokana na staili ya muonekano wake akizishabikia klabu ya Yanga na timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) umehifanyiwa katika kijiji cha Chipopolo mkoani humo.


Innah Lilah wainah illah rajiuun.
Share on Google Plus

About mtanda blog

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments: