BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

DIAMOND PLATINUM AKATAA MIMBA YA MREMBO HAMISA ALIYETAMBA NAYE VIDEO YA WIMBO WA SALOME

 
MSANII mkali wa Afrika Mashariki, Nassib Abdul (Diamond Platinum), amemtaka mrembo Hamisa Mobeto aibuke na kumtaja mwenye mimba inayodaiwa anayo.

Mkali huyo wa muziki alidai hakuwahi kutoka na mrembo huyo aliyetamba kwenye video za nyimbo mbalimbali za bongo fleva, huku akimtaka ajitokeze aweke wazi huo ujauzito wa nani ili maneno yaishe.

“Utata ulianza kwenye video ya Salome ambapo Hamisa alicheza watu wakatunga mengi ila mimi sijawahi kutoka naye na inaweza kumpa wasiwasi mpenzi wake, lakini naye si ajitokeze aseme nani mwenye mimba,” alisema Diamond.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment