BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

RAIS WA TFF NA RAIS WA KLABU YA SIMBA SC KUPANDISHWA KIZIMBANI MAHAKAMA YA KISUTU DAR ES SALAAM KWA TUHUMA ZA RUSHA KATIKA SOKA

Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine wa kwanza kushoto, Rais wa TFF, Jamal Malinzi,  Makamu wa Rais Simba SC, Geofrey Nyange Kaburu  na Rais wa klabu hiyo ys Simba, Evance Aveva wakiwa katika mahakama ya Kisutu wakisubiri kupandishwa kizimbani kwa tuhuma za rushwa katika soka.

Dar es Salaam. Rais wa TFF Jamal Malinzi, Katibu wa shirika hilo, Rais wa klabu ya Simba na Makamu wa klabu hiyo wamepandishwa kizimbani katika mahakama ya Kisutu kwa tuhuma za rushwa ndani ya michezo.

Kwa upande wa watendaji wakuu wa TFF wanashtakiwa kwa matumizi mabaya ya ofisi wakati rais wa klabu ya Simba SC na Makamu wa klabu hiyo wanatuhumiwa kuhusiana na fedha za mshmbuliaji wao raia wa Uganda, Emmanuel Okwi.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment