BannerFans.com

MBUNGE SUZAN KIWANGA AKWAMISHA KESI MAHAKAMANI MOROGORO

WATUMISHI WA TFF KUSOMBWA WENGI KWA UFISADI


I
 

Rais wa shirikisho la kandanda nchini Tanzania (TFF) Jamal Malizia, amekamatwa na idara ya kupambana na ufisadi nchini humo.

Alikamatwa pamoja na katibu wa TFF Selestine Mwesigwa.

Wawili hao walizuiliwa usiku kucha.

Msemaji wa idara ya kupambana na ufisadi Musa Misalaba aliongeza kuwa wawili hao watabaki kizuizini hadi wahojiwe.

Kukamatwa kwao kunajiri baada ya uchunguzi wa siku nyingi.

Misalaba alisema kuwa idara hiyo inaendelea kuwachungzua maafisa waengine kwa madai sawa na hayo.
Share on Google Plus

About Juma Mtanda

Blogger maarufu nchini Tanzania na mwanahabari mkongwe kwenye Tasnia ya habari
Post a Comment